Nothing found
Thank you! Your submission has been received!
Oops! Something went wrong while submitting the form.

Je, naweza kuambukizwa virusi vya ukimwi kutokana na ngono ya kinywa?

Ngono kupitia mdomoni haina hatari kubwa ya kuambukiza virusi vya ukimwi kama ile ya kupitia sehemu za uke au mkundu. Hata hivyo, virusi vyaweza ingia kwenye mwili kupitia vidonda na majeraha mwilini. Pia kunazo kesi za watu waliopata virusi vya ukimwi kupitia mdomoni, lakini ziko chache sana.

Kwa maelezo zaidi, fuata hili tovuti. (Ambatanisha na lugha chanzo ya kiingereza)