Nothing found
Thank you! Your submission has been received!
Oops! Something went wrong while submitting the form.

Je, dawa za HIV au PrEP zitaleta migogoro kwa homoni za kijinsia?

Sio wote waliobadili jinsia huwa wanatumia homoni kama njia ya kujitambulisha na jinsia fulani. Hata hivyo, hamna migogoro yeyote imejumuhishwa kati ya tiba la kubadilisha homoni na PrEP

Tazama hili video lenye urefu wa dakika moja katika mtandao wa Greater Than AIDS ndio upate kujua mengi zaidi. (Ambatanisha na lugha chanzo ya kiingereza)